top of page
Search

MSAADA KWA ABDUL

Writer's picture: Nantambalele niokoeNantambalele niokoe

Anaitwa Abdul mkazi wa jijini dar es salaam Tanzania NI mvurana mwenye uri wa miaka 26

Kama picha yake inavyo onyesha hapo

Anasumbuliwa na matatizo ya ulemavu hapo qlipo atembe aongei akai Wala asimamašŸ˜­šŸ„ŗ unaweza kujiuliza kwa jini kwa sababu gani amezaliwa hivi au laah!!!Basi ukweli NI kwamba ABDUL alizaliwa AKIWA mzima Kama Mimi na wewe alizaliwa na mama take mzazi Kama binadamu wengine matatizo ya ulemavu wake ILITOKEA ndani ya usiku MMOJA tu ndio Giza Nene likatanda kwenye maisha take na jinamizi la kutoaha kukuba maishani mwake ambae baro akisubua maisha yake na familia yake mpaka hivi Sasa


Chanzo Cha maradhi take NI homa ya MANJANO !!šŸ„ŗ NANI ajuae Nani afikiliae homa ya MANJANO unaweza kualibu kabisa maisha ya mtu au mtoto!! Lakin umetokea

Abduli baada ya kupata tatizo hili AKIWA na mwaka mmoja alipoteza udugu moja kwa moja na baba take mzazi kwa madai baba take hana familia yenye mbegu ya walemavu

Abdul alitelekezwq moja kwa moja na mama yake ilipo fika2017 hapo ndio Giza lilitanda zaidi baada ya mama take mzazi kupoteza maisha qlijikuta akiishi maisha ya Giza huzuni hqta kudhuhudia ukatili wa wazi wazi

Alibaatika kupata mama mkubwa mlezi lakin mama mkubwa umli umeshaenda na yeye NI mtu wa KULALA tu haja kubwa ndogo hapo hapo qlipo sio kula Wala kuvaa lazima uhudumiwe Kama mtoto kichanga

NANTAMBALELE NIOKOE FOUNDATION ILIPATA nafasi ya kumtembelea abdul na kusikia kilio Cha mamamlez wa Abdul


Anaomba kupatiwa KITI MJONGEO , PAMPAS NA GLOVES ZA KUTOSHA KUWEZA KUMLEA HUYU KIJANA ABDUL KIUKWELI UHITAJI NI MKUBWA MNO UKILINGANISHA NA MAZINGIRA



NAOMBA DUGU WADAU MALAFIKI TUSHIRIKI KUMSAIDIA HUYU ABDUL



NAMBA YA KUSAIDIA NA MAWASILIANO NI


0745787549

MPESA

JABILI ISSA


WHATSAPP AND MOBILE CALL ALSO !!!



Ā 
Ā 
Ā 

Recent Posts

See All

Looking help/volunteers

we have orphans in a day care center we want to start computer science teaching for these children we need volunteers to come and...

Comments


Post: Blog2_Post

Subscribe Form

Thanks for submitting!

  • LinkedIn

Ā©2021 by Nantambalele niokoe foundation. Proudly created with Wix.com

bottom of page