top of page
Search

FUND TO SAVE LIFE

Writer's picture: Nantambalele niokoeNantambalele niokoe

YUSUPH MGWAB


HUYU BABA ANATATIZO LA FIGO!! ZOTE MBILI ZIMEFAIL


ANAISHI KWA MSAADA WA DIALYISIS! KIUKWELI KUNA CHANGAMOTO KUBWA IMEJITOKEZA KWENYE LINE YA KUFANYIA DIALYISIS


NJIA IMEKUFA KWA MAANA AKIINGIZA KWENYE MASHINE DAMU ZINATOKA SI KAWAIDA INAPELEKEA DAMU KUMWAGIKA NA KWA SASA PANAPASWA MRIJA UWEKWE MKONONI AU

MGUUNI !!!


TUNAHITAJI 2,000,000TZSH ( MILLION MBILI )


WAKATI NAANDAA NAMNA YA KUMSAIDIA JANA IJUMAA ALIENDA KUFANYA TENA DIALYSIS LAKINI ALISHINDWA KABISA ALIPATA BARIDI KALI KAMA KIFAFA NA ILIBIDI AFANYIWE DIALYSIS ALIWA KWENYA MASHINE YA OXYGEN!


HALI HII IMEKUWA HATARI NA IMEPELEKEA MADAKTARI WASISITIZEE HILI


NAOMBA NDUGU NIWAOMBE TUMSAIDIE HUYU BABA 😪😪😪 KWANI HATOWEZA KUFANYA DIALYSIS MPAKA APATE SINDANO HIZO 5 NA IKUMBUKE FIGO ZOTE MBILI ZIMEKUFA DIALYSIS NDIO UHAI WAKE 😣😣😥😥😥


0745787549

Mpesa

JINA:JABILI ALLY ISSA



"KUTOA NI MOYO SI UTAJIRI " 🙏

 
 
 

Recent Posts

See All

Looking help/volunteers

we have orphans in a day care center we want to start computer science teaching for these children we need volunteers to come and...

Comments


Post: Blog2_Post

Subscribe Form

Thanks for submitting!

  • LinkedIn

©2021 by Nantambalele niokoe foundation. Proudly created with Wix.com

bottom of page