top of page
Search

HELP IN NEED

Writer's picture: Nantambalele niokoeNantambalele niokoe

Habari kwa kila MMOJA wenu NDUGU ZANGU WATANZANIA wenzangu


NILIWAI KULETA SHORT STORY KIDOGO 😭😭 ILA SASA HALI YAKE SIO NZURI KIAFYA KIFUA NYONGA NA MIGUU AIFANYI KAZI KABISA 😭😭😭😭😭


KAMA MLIFUATILIA KALE KASTORY KADOGO HUYU MAMA ALIJIFUNGUA MTOTO WAKE HUYO ALIYE MBEBA AKIWA HANA MSAADA WA AINA YEYOTE MUME ALIMTELEKEZA NA KUUZA KILA KITU NDANI AKIWA NA UJAUZITO WA MIEZ 3

ALILEA MIMBA YAKE KWA SHIDA NDANI YA MIMBA NDANI YA MIEZI YOTE 5 AKIWA ANALALA CHINI KATIKA NYUMBA YA KUPANGA AMBAYO HATA KODI IKIWA INADAIWA KWA MUDA WOTEE WA MIEZI MITANO😭😭😭 CHA KUUMIZA ZAIDI WALINUNUA PIKIPIKI NA HUYO MWANAUME NA KUFUNGUA STORE ZA MKAA LAKIN ZOTE AKUAMBILIA HATA 100 😭😭😭 ALIACHWA KAMA ALIVYO NA VITOYO 3 NA MWANAE KUTOKOMEA KWAA MWANAMKE MWINGINE 😭😭🐦

ALIPO JIFUNGUA AKIWA NA OPARESHENI YA MWEZI MMOJA ILIMBIDI AKALIME KIBARUA MIGUU 20KWA 20 KWA ELFU TANO ILI AWEZE KULISHA WATOTO WAKE 😭😭😭😭

AISEEE 😭😭

HUYU MTOTO UNAE MUONA MKUBWA ANAMIAKA 7 LAKINI HATA DAWATI LINAVYO KALIWA HAJUI KWA MAANA HATA NASARI AIJUI 😭😭😭😭😭 SIO KWAMBA MAMA AITAJI ILA .......


HUYU MAMA KIUMWELI ANAITAJI MSAADA ATA WA KUSAIDIWA SEHEMU YA KUISHI NZURI NA HAWA WATOTO CHAKULA NA MATIBABU 😭😭😭😭

TUNAITAJI KUPATA VIPIMO HARAKA PIA KUANGALIA SHIDA ZAIDI MAANA ATA AFYA YAKE PIA INAITAJI KUPAMBANIWA ZAIDI KWA KUOKOA MAISHA YAKE NA HAWA WATOTO

UNAWEZA KUSAIDIWA KWA KUCHANGIA CHAKULA

MAVAZI

GODORO NA KITANDA HATA CHA FUTI 4*6 HAWA WATOTO waweze kujilaza 😭😭😭😭😭


PIA HUMU KUNA WATU WANAO JUA ZAIDI MASWARA YA KISHERIA KWENYE KESI KAMA HII TUSAIDIENI MQANA HATA TARAKA AJAPEWA AMESHA ZUNGUKA KWA NDUGU WA MUME ANAJIBIWA KASHFA NA KUDHARAULIKA TUU 😭😭😭 VIPI KUHUSU HAKI ZA HAWA WATOTO!?


NDUGU ZANGU KWA PAMOJA TUSHIRIKIANE KUOKOA HII FAMILIA


+255 762823699

MPESA

JINA

SHABANI RAMADHANI JUMA


PIA UNAWEZA NITUMIA KWEWNYE EMAIL AU WHATSAAP NENDA DIRECT KWENYE PROFILE YANGU

 
 
 

Recent Posts

See All

Looking help/volunteers

we have orphans in a day care center we want to start computer science teaching for these children we need volunteers to come and...

Comments


Post: Blog2_Post

Subscribe Form

Thanks for submitting!

  • LinkedIn

©2021 by Nantambalele niokoe foundation. Proudly created with Wix.com

bottom of page